• Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 160

    Shaykh Al-Islam Ibn Taymiyyah Mungu Amrehemu: Ahmad Taqiy Al-Din Abu Al-Abbas Bin Abdul Halim Bin Abdul Salam Bin Abdullah Bin Abu Al-Qasim Alkhadhwar Bin Mohammed Bin Khadhwar Bin Ali Bin Abdullah Ibn Taymiyyah Al Harrany. Wametaja wanachuoni wa Tarjama Qauli tofauti katika sababu ya ya kuitwa familia yake kwa jina la (Al Taymiyyah), miongoni mwa Qauli zao, niqauli ya Ibn Abdul Hadiy Allah amrehemu: (Babu yake Muhammad mama yake alikuwa anaitwa Timiyyah), na alikuwa nimtoa Mawaidha akanasibishwa na Taymiyyah.na Inasemekana : Hakika babu yake Muhammad Bin Khadwar alifanya Hajji akaona mtoto kwa mbali, alipo rudi alimkuta mke wake amejifunguwa mtoto wa kike akasema :Ewe Taymiyyah ewe Taymniyyah,Akaitwa hivyo.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 184

    Imamu na khatwibu wa Msikiti mtakatifu

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 157

    Imamu na khatwibu wa Muskiti mtakatifu. .

  • Kiswahili

    chanzo, Msambazaji, Idadi ya Vipengele : 113

    Tovuti ya kidaawa ya islamic-invitation Inayo ongeza mada za kidaawa tofauti kwa lugha tofauti.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 159

    Ibn Qayyim Abu Abdullah al-Shams al-Din Muhammad bin Abi Bakr ibn Ayyub bin Saad bin Hariiz bin Makki Zainuddin kisha Kisha nimtu kutoka Damascus na anafuata Madhehebu ya Hanbali, anajulikana kwa jina la Ibn Qayyim Al-Jawziyya, Kazaliwa siku ya saba ya mwezi wa Safar Mwaka 691 H. Na alifariki usiku wa Alkhamisi 13/7/751 Mwenyezi Mungu amrehemu.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 521

    Imamu wa Msikiti wa Mtume Mtukufu

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 155

    Imamu na khatwibu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w).

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 123

  • Kiswahili

    chanzo, Msambazaji, Idadi ya Vipengele : 101

    Tovuti maalum ya Chuo kikuu cha kiislam cha Madina

  • Kiswahili

    chanzo, Msambazaji, Idadi ya Vipengele : 93

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 84

    Idara ya Utafiti wa kielimu katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Madiana Almunawarah

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 91

    Imamu na khatwibu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w).

  • Kiswahili

    chanzo, Msambazaji, Idadi ya Vipengele : 72

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 81

    Imamu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w)

  • Kiswahili

    chanzo, Msambazaji, Idadi ya Vipengele : 73

    -Ni ofisi inayojishughulisha na da’awah iyopo Ummu Alhamam katika mji wa Riyadh

  • Kiswahili

    chanzo, Msambazaji, Idadi ya Vipengele : 60

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 47

    Ghazi bin Ali Sultan Dagestani Amehitimu masomo yake ya Chuo Kikuu cha Kiislamu Madina

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 48

    ABUU KARIIM ALMARAKISHY Nimtafiti katika kulinganisha usahihi wa dini

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 56

    Nimhitimu wa Kitivo cha Sharia,na anajihusisha na kufanya daawa kwanjia ya mitandao kwa njia ya mazungumzo na tovuti tofauti,ameanzisha tovuti nyingi za kiislam,ikiwemo : http://www.islam-guide.com na http://www.islamreligion.com,na nimwandaaji na mkusanyaji mashuhuri wa kitabu: "Mwongozo ulio fupishwa kwaajili ya kuufahamu uislam".Ambacho kimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 45 na kuchapishwa kwake mamilioni.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 37

    Shekh Qasim Mafuta: Amehitim masomo katika Chuo kikuu cha kiislam Madina Nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni Mlinganiaji maarufu nchini Tanzania na nje ya Tanzani, pia ni Mudir katika markazi yake, Pongwe Tanga Tanzania.-