Nguzo ya Dini ya Kiislamu

Mwandishi :

Tafsiri:

Kurejea:

الناشر: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh

Maelezo

Nguzo ya Dini ya Kiislamu: Makala imechukuliwa nakutafsiriwa kutoka ktk kitabu Mukhtaswaru Fiqhul-Islam cha Sheikh Muhammad bin Ibrahim Tuwaijiry, Inabainisha ya kwamba Uislamu ni muongozo na Rehma kwa ulimwengu mzima, ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa watu wote, katumwa nao bwana wa Mitume, na wamwisho wa Manabii, na Umati wake ukawa bora kwa kazi hii hadi siku ya Qiyama.

Download

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu