Kisa cha kuslimu David Benjamin Keldani, Muerani Mkatolik Askofu

Maelezo

Kwenye makala hii kuna maelezo ya Askofu Muerani Mkatolik (David Benjamin Keldani), kwa sasa anaitwa (Abdul-Ahad Daudi), baada ya taufiqi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kuingia katika Uislamu dini kubwa, na alikuwa anajuwa lugha nyingi sana, akatunga kitabu: (Muhammad katika vitabu vitukufu), kisha akafariki 1940م (r.h).

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu