Mafhumu ya huria katika uislamu

Maelezo

Mafhumu ya huria katika uislamu:
Katoa khutba ya ijumaa sheikh Suudi shurem -Allah amuhifadhi- katika muskiti wa makkah tarehe 2-11-1432, kazungumzia Mafhumu ya huria katika uislamu, na kabainisha ufahamu ulio sahihi na kuwahadharisha na ufahamu wa kimakosa kutokana na neno hili, na kabainisha ya kwamba uislamu ndio ulio dhamini uhuru kwa kushikamana na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na mtume wake (s.a.w).

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu