Haki za wafanya kazi katika uislamu

Mwandishi :

Kurejea:

Maelezo

Haki za wafanya kazi katika uislamu:
kwa hakika uislamu umewainuwa wafanya kazi na kuwalea na kuwakirimu, na ukatambua haki zao kwa mara ya kwanza katika historia, bada yakuwa wafanya kazi katika nidhamu zilizo tangulia walikuwa kama watumwa, wengine walikuwa wakiwadhalilisha, katika makala hii kabainisha mtunzi badhi ya haki za wafanya kazi katika uislamu kwa mujibu wa kitabu na sunna.

Download
Maoni yako muhimu kwetu