Muhammad (s.a.w) katika kuhakikisha haki za Binadamu

Maelezo

Malengo yetu katika makala hii ni kuelezea Msimamo wake Muhammad (s.a.w) katika kuhakikisha haki za Binadamu katika nyanja zote za uhai, kwa mujibu wa Qur-ani na sunna zake sahihi, na ndiyo njia anatakiwa binadamu aifuate kwa kila zama na kila wakati.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu