Umuhimu Wa Ibada Ya Hijja Katika Uislam
Maelezo
1- Mada hii inazunguzia: Umuhimu na nafasi ya Hijja katika Uislam na kwamba Hijja ni wajibu na inatekelezwa kwa ajili ya Allah peke yake, pia imezungumzia ruhusa aliyoitoa Mtume (s.a.w) ya kumfanyia Mzazi Hijja.
2- Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa hija na umuhimu wa kuwafanyia hija wazazi walio fariki, na kuwafanyia wema wazazi kwa kuwawekea waqfu, na amezungumzia nyakati za hijja pia amebainisha ubora wa kuhiji ukiwa kijana.
- 1
Umuhimu Wa Ibada Ya Hijja Katika Uislam 1
MP3 20.7 MB 2019-05-02
- 2
Umuhimu Wa Ibada Ya Hijja Katika Uislam 2
MP3 16.8 MB 2019-05-02
Utunzi wa kielimu: