Nafasi Ya Vijana Katika Uislam

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia: Nafasi ya vijana katika uislam, na neema ya ujana, na kila kijana ataulizwa siku ya qiyama, pia amezungumzia uwajibu wa vijana kuutumia ujana wao katika kufanya ibada, kama kusimamisha Swala, Funga na Hijja, ili kupata radhi za Allah.
2- Mada hii inazungumzia: Vijana ni hazina kubwa katika uislam tangu zamani, nakwamba vijana ndio wenye uwezo wa kuvumilia mashaka na misukosuko, pia imezungumzia umuhimu wa vijana kujipamba na tabia njema.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: