Umuhimu wa Sunna
Mhadhiri : Salim Barahiyan
Kurejea: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo
Mada hii inazungumzia: Namna uislamu ulivyo na hali mbaya kwa sasa kutokana na watu kuacha Sunna za Mtume (s.a.w), pia imefafanua maana ya kushahidilia ya kwamba Muhammad ni mjumbe wa Allah.
Mada hii inazungumzia: Nini maana ya Utume, na kwamba Mitume wote (s.a.w) ni chaguo la Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia historia fupi ya Mtume Muhammad (s.a.w).
Mada hii inazungumzia: Misingi ya kushahidilia ya kwamba Muhammad ni Mjumbe wa Allah, na tofauti kati ya Mitume waliopita na Mtume Muhammad (s.a.w), pia imezungumzia itikadi mbovu waliyonayo Mashi’a.
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayovunja (shahada) kushahidilia ya kwamba Muhammad ni Mjumbe wa Allah, pia imezungumzia kwamba asiyemuamini Mtume Muhammad (s.a.w) ni kafiri na mafikio yake ni motoni.
Mada hii inazungumzia: Wajibu wetu ni kumtii Mtume (s.a.w) na kumfuata, na imefafanua juu ya umuhimu wa kumtii Mtume (s.a.w) pia imezungumzia uzito wa Sunna za Mtume (s.a.w) na hasara za kwenda kinyume na Sunna zake.
Mada hii inazungumzia: Kumfuata Mtume (s.a.w) ndio kuongoka, na kwamba kumpenda Allah kunafungamana na kumfuata Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kushikamana na Qur’an na Sunna, na hatari ya kufuata mazoea.
- 1
MP3 8.7 MB 2019-05-02
- 2
MP3 10.8 MB 2019-05-02
- 3
MP3 17.3 MB 2019-05-02
- 4
MP3 14.7 MB 2019-05-02
Utunzi wa kielimu: