Sababu za kuhakikisha Amani katika jamii ya Kiislamu

Maelezo

Hakika kuhakikisha amani ni katika mambo yaliyokuja na sheria ya Uislamu, na nikatika neema kubwa za Mwenyezi Mungu juu ya viumbe wake, apate amani Muislamu juu ya dini yake, amuabudu Mola wake kwa amani na utulivu, na awe na amani katika nafsi yake na mali zake na heshima yake, na yote hupatikana katika kubainisha sababu zake.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu