Zawadi Ya Kumi Lamwisho Katika Ramadhani

Maelezo

Mada hii inazunguzia zawadi ya kumi la mwisho katika mwezi wa Ramadhani, amebainisha maana ya Suratul Qadri, na amebainisha aina ya mipangilio ya Allah kwa mwaka mzima, pia amezungumzia zawadi za ramadhani ikiwemo usiku wa cheo na ziyara ya malaika Jibril .
Mada hii inazunguzia zawadi ya kumi la mwisho katika mwezi wa Ramadhani, miongoni mwa zawadi za kumi la mwisho katika mwezi wa ramadhani ni kupewa umri mfupi na ibada chache zenye malipo makubwa, pia amebainisha kuwa miezi 1000 nisawa na kuishi miaka 81 ukiwa katika ibada.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: