Utunzi wa kielimu

 • Uzbek

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Ozbikia, unaelezea: Hadithi zilizo pokelewa kuhusu Usawa. Kisa cha kuzikwa Omar (r.a), dalili na maneno mbali mbali ya wafasiri wa Qur-an kuhusu Usawa. Usawa na Ubora. Usawa ulio timia. Faida za Usawa.

 • Uzbek

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Uzbikia, ukielezea: Usawa kilugha na kisheria. Neno Usawa ndani ya Qur-an Tukufu. Tofauti kati ya Usawa na Uadilifu. Namna za Usawa katika Uislamu. Laiti Fatuma binti Muhammad (s.a.w), akiiba ntamkata mkono wake. Usawa katika kulinda damu. Usawa kati ya Mume na Mke. Usawa kati ya Watoto.

 • Uzbek

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Uzbikia, unaelezea: Uadilifu kilugha na kisheria. Uadilifu ni katika sifa za Mwenyezi Mungu Mtukufu. Namna za Uadilifu. Ubora wa Uadilifu. Vigawanyo vya Uadilifu na namna ya kusimamisha Uadilifu.

 • Uzbek

  MP3

  Katika mtiririko huu kuna ubainifu ya kwamba Hija ni moja ktk nguzo tano za Uislamu, na misingi yake mitukufu, na kwamba nilazima kwa mwaka mara moja, na kwamba Hijja ambayo haina makosa malipo yaki ni Pepo.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu