-
Imad Zuhair Hafidh "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Imad Zuhair Abdulqadir Hafidh: Amezaliwa katika mji wa Madina mwaka 1382 Hijiria, akapata elimu ya udokta katika chuo kikuu cha kiislam Madina mwaka 1412 Hijiria, alikua Imamu na khatwib katika Msikiti mkuu wa Manaratayn, na Msikiti wa Qubah, na alikua Rais katika jumuiya ya kuhifadhi Qur'an tukufu katika mji wa Madina.