-
Jazzai Bin Flaih Alswuweylh "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Jazzai Bin Flaih Alswuweylh: Amezaliwa mwaka 1969, ni mmoja kati ya wasomaji maarufu katika Nchi ya Kuwait, na alimaliza masomo yake ya sheria na Qur'an na tajweed katika chuo kikuu cha Kuwait.