-
Basil Abdul-Rahman al-Rawi "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Shekh Basil Bin Abdul-Rahman al-Rawi: Amezaliwa Iraq katika mji wa Baghdad mwaka 1953, alimaliza masomo yake katika chuo kikuu cha Baghdad katika kitivo cha kanuni na siasa mwaka 1975 na alipata nafasi ya kwanza wakati huo, na wizara ya mambo ya nje ilimuomba afanye kazi kama diplomasia mwaka 1977, na akaacha kazi mwaka 1990, akashughulika na kusoma Qur'an kuihifadhi na kuifundisha.