-
Mahmuod Abdulhakam "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Shekh Mahmoud Ahmad Abdulhakam: Amezaliwa siku ya jumatatu sawa na 1February 1915 katika kijiji cha Karnak, amehifadhi QUR'AN Misri katika Chuo cha Azhar, na alishiriki katika kuanzisha umoja wa wasomaji wa Qur'an, alifariki siku ya jumatatu sawa na 13September 1982, Mwenyezi Mungu amrehem.