Dini sahihi

Mwandishi : Bilal Philips

Maelezo

Kitabu hiki chazungumzia maana ya dini ya uislamu kwa ufupi, na kwamba ndio dini sahihi Allah hakubali dini kinyume na hiyo, akaelezea dini nyingine na kuonyesha ubatili wake, na ukweli kuhusu Issa na Mama yake (s.a.w), na Uislamu ni dini ya ulimwengu mzima, na hikma ya kuumbwa majini na binadamu.

Download

Vyanzo:

Chama cha kueneza uislam

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu