Amani ktk maisha ya watu na umuhimu wake ktk Uislamu

Mwandishi :

Maelezo

Amani ktk maisha ya watu: Mda hii inavipengele vitano na hitimisho.
1: Amani ktk Qur-an na sunna. 2: Maana ya Amani ktk jamii ya Kiislamu. 3: Sheria kufanya kazi na Amani kwa ujumla. 4: Kumpa Amani asie Muislamu ktk Nchi za Kiislamu. 5: Amani ktk Nchi ya Saudi arabia.
Hitimisho: Mambo muhimu yanayo sababisha Amani ktk jamii ya Kiislamu.

Download

Vyanzo:

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu