MUHAMMAD, REHEMA NA AMANI ZA MWENYEZI MUNGU ZIWE JUU YAKE, NI MTUME WA UISLAMU
Mwandishi :
Msambazaji:
Maelezo
Kitabu "Mtume wa Uislamuz Muhammad, rehema na amani ziwe juu yake" kinaweka wazi maisha ya Nabii Muhammad kuanzia kwenye nasaba yake na kuoa kwake kulikobarikiwa mpaka kuanza kuteremka kwa ufunuo na kuanza kwa utume wake ambao ndio wa mwisho, na kinabainisha alama za unabii wake na alama za ukweli wake, na kinaweka wazi sheria aliyokuja nayo na nafasi yake katika kuhifadhi haki za mwanadamu na heshima yake, kama ambavyo kinaweka wazi misimamo ya mahasimu wake na kutoa kwao ushahidi wa kumuunga mkono, pamoja na kutia mwangaza juu ya tabia zake nzuri ambazo sheria imeziweka kuwa ni kiigizo kwa watu na kuwaita katika kumpwekesha Muumbaji.
- 1
MUHAMMAD, REHEMA NA AMANI ZA MWENYEZI MUNGU ZIWE JUU YAKE, NI MTUME WA UISLAMU
PDF 2.98 MB 2025-22-09
Utunzi wa kielimu: