Uislamu ni Itikadi na Ibada

Maelezo

Uislamu ni Itikadi na Ibada:
Baada ya mtu kua Muislamu yatakiwa awe na Itikadi nzuri kuhusu Mwenyezi Mungu na Mitume wake na Malaika zake na Vitabu vyake na siku ya mwisho, pia kusali na kufunga na kutoa zaka na kufunga mwezi wa Ramadhani na kwenda Hijjah kwa mwenye uwezo.

Download
Maoni yako muhimu kwetu