• Kifaransa

  DOC

  Kwa nini nimechagua uislamu? Kisa cha kweli cha kusilimu Mmoja ktk mapasta.

 • Kifaransa

  DOC

  Mwandishi : Bilal Philips

  Dini sahihi: Kitabu kizuri sana kwa wale wanaotafuta haki, kitabu kinatwaongoza watafiti ktk njia sahihi, na kinaelezea kutafakari juu ya uhakika wa Dini, na kuelezea uhusiano kati ya Mola na Viumbe.

 • Kifaransa

  DOC

  Anasema Mwenyezi Mungu Mkarim: (Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu,ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kuwabashiria kwa Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!). Aswaaf: (6) na Nabii Muhammad (s.a.w), ndie Nabii pekee ambae katumwa baada ya Nabii Isa (s.a.w), na wala hawakiri wakristo ya kwamba yupo Nabii aliekuja baada ya Nabii Isa (s.a.w), na sisi kwa hili tunathibitisha ya kwamba Isa na Mussa (s.a.w), walimbashiri Nabii Muhammad (s.a.w), atakuja baada yao, na patakuwa vilevile dalili miongoni mwa dalili za kitabu kitakatifu kama kilivyo bainisha kitabu hiki kitukufu ambacho chafaa kuwa muongozo kwa kila Mkristo na Myahudi...

 • Kifaransa

  PDF

  Ujumbe kwa ufupi unazungumzia ushahidi mbali mbali wa ukweli kuhusu Uislamu na Qur-an Tukufu na Mtume mwema, na historia yake na utawala wake, kutoka kwa wasiokuwa waislamu, wakiwemo wanasiasa, washairi, wasomi, askari, wanamume na wanawake, na wale waliyoingia katika uislamu.

 • Kifaransa

  PDF

  Uislamu ni dini ya maumbile: Kitabu hiki kinawafaa wasiokuwa Waislamu, kwa sababu kinataja utukufu wa Uislamu na namna ya kufika katika haki kwa kutumia akili safi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu