Utunzi wa kielimu

 • Kinepali

  PDF

  Kitabu kwa lugha ya Nebali kikizungumzia Uislamu kwa hoja sahihi naza kiakili.

 • Kinepali

  PDF

  Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno kwa ufupi na yenye kutosheleza kuhusu maana ya dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake. kwa hakika ni ufunguo kwa yule anaetaka kuufahamu Uislamu na kuingia katika dini hii.

 • Kinepali

  PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Nibali kinaelezea mazuri ya Uislamu kwa dalili za kiakili na zakisheria, pia kinaelezea Madhehebu mbali mbali na kutoa dalili ndani ya Qur-an na katika Sunna sahihi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu