Utunzi wa kielimu

 • video-shot

  MP4

  Darda kuhusu uwepo wa bishara za Muhammd (s.a.w) katika Injil.

 • PDF

  Kitabu hiki kina kurasa 21 nacho kipo katika mfumo wa mahojiano kati ya Ahmad diydat na baadhi ya Maaskofu ambao wanafanya ujanja wa kupinga na kukanusha bishara za Muhammad (s.a.w) katika vitabu vilivyo tangulia, pamoja na kupindisha kwa hakika zimetajwa baadhi ya bishara ambazo haiwezekani kusifiwa mwengine zaidi ya Muhammad (s.a.w).

 • PDF

  Vipeperushi kuhusu Uwepo na bishara za Muhammad (s.a.w) katika Injil.

 • PDF

  Haya ni maneno kwa ufupi kutoka katika kitabu " Muhammad katika Turati na Injil" cha Sheikh Ahmad Diydat (r.h) na malengo ya kitabu ni kuonyesha Ubashiri wa Utume wa Muhammad (s.a.w) katika vitabu vilivyo toka mbinguni (Taurati na Injil).

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu