• video-shot

  Wanatuelezea watu wanne Mpagani mmoja na wakristo wa tatu kuhusu kusilimu kwao muda ulio pita, kwenye kipindi cha (The Deenshow) kisa kifupi na kwamba waliupata Uislamu ndani ya nafsi zao.

 • video-shot

  Kwenye kipindi hiki kuna maswali mengi sana kuhusu utata unao zagazwa dhidi ya Uislamu kutoka kwa Makafiri na wakati mwengine kwa baadhi ya Waislamu.

 • Makala kwa lugha ya Kingereza inazungumzia nukta (30) kuhusu Uislamu ktk nyanja tofauti na kwanjia nyepesi mfano: Maana ya Uislamu, na Nguzo zake, na Vyanzo vyake, kisha kujibu baadhi ya Utata.

 • video-shot

  Katika kipindi hiki ataelezea sheikh Eddie sababu zinazo pelekea wanawake wengi kuingia ktk Uislam kuliko wanamume, na namna walivyo pata uhuru wa kweli na amani ndani ya Uislamu.

 • video-shot

  Kwa nini uislamu? Kingereza

  Nakala kwa lugha ya kingerez ikielezea utangulizi kuhusu uislamu, na kubainisha kwa nini mwanadamu anachaguwa uislamu kuliko dini nyingine, na kuelezea kwa ufupi kuhusu ubora uliokuja na uislamu.

 • Uislamu ni... Kingereza

  Mada ya Audio kwa lugha ya Kingereza ikielezea umuhimu wa Muiislamu kutafuta elimu, na kubainisha njia sahihi ya kutafuta elimu, na tabia ya mwenye kutafuta elimu ya kisheria, na yaliyo wajibu kwa Muislamu kujifundisha.

 • video-shot

  Mada ya video nzuri inazungumzia maana ya uhai katika Uislamu na makusudio ya kuwepo katika hii Dunia.

 • video-shot

  Maana ya Uislamu Kingereza

  Kaelezea Sheikh kwenye muhadhara huu baadhi ya mambo ya msingi kuhusu Uislamu na Waislamu.

 • video-shot

  Muhadhara mzuri kwa lugha ya kingereza umetolewa na Sheikh: Abdur Raheem Green kazungumzia kuingia kwake katika Uislamu myaka kadha iliyopita.

 • video-shot

  Ni nini Uislamu? Kingereza

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Maana ya Uislamu kwa ufupi na misingi yake na mema yake na hestoria yake tangu zama za Nabii Adam (s.a.w), hadi kwa Muhammad (s.a.w), Uislamu ni unyenyekevu na kutii yote aliyo kujanayo mtume kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

 • video-shot

  Mada ya video nzuri inazungumzia maana ya uhai katika Uislamu na makusudio ya kuwepo katika hii Dunia.

 • Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Kingereza kikielezea maana fupi ya Dini ya Uislamu na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • video-shot

  Mada mpya ya sheikh: Hamza Tzortzis namna walivyo zinduka wazururaji ktk maisha haya ya dunia, ambao walikua hawajuwi malengo ya kuwepo kwao, kabainisha njia sahihi za kisheria na zakiakili ambazo kila mtu ataelewa haki ipo wapi na batili.

 • video-shot

  Video hii kwa lugha ya Kingereza inazungumzia kisa cha kuslimu Kenneth, na maisha yake bada ya Kuslimu.

 • Makala kwa kingereza ikizungumzia maana sahihi ya ubaguzi ktk Uislamu.

 • video-shot

  Uhuru wa Binaadamu Kingereza

  Katika mkutano huu kwa lugha ya Kingereza anajadili Dr. Jaffar Idris Mmoja ktk viongozi wa haki za binaadamu (Uhuru).

 • Kitabu kwa lugha ya Kingereza kikielezea Maswali (40) kuhusu Uislamu, kutokana na utata kuhusu Uislamu.

 • video-shot

  Kwenye Muhadhara huu kabainisha Sh: Khaled Yasin ya kwamba ni wajibu wetu kuwakinaisha watu kuhusu Uislamu kimatendo, na tusitosheki pekeyake kutoa dalili tu, yatakiwa mifano mbali mbali kama: Biashara ya Riba, kunywa pombe, sigara, madawa ya kulevya, kujitoa muhanga, Uislamu ni Dini yenye ufumbuzi wa yote hayo na matatizo ya maisha kwaujumla.

 • Makala kwa lugha ya kingereza ikielezea Misingi kuhusu haki za binadamu zilizo wekwa na Uislamu.

 • Makala kwa lugha ya kingereza inaelezea habari juu ya maneno yanayo enezwa kwamba Uislamu umeenea kwa upanga.

Ukurasa : 4 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu