Utunzi wa kielimu

 • Tajik

  DOC

  Maana ya Uislam kwa ufupi: Maana ya Dini ya Uislam kwa ufupi na kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • Tajik

  PDF

  Kitika makala haya kuna maneno yaliyo semwa katika wasifu wa Nabii Muhammad (s.a.w) kwa upande wa wasiokuwa Waislamu.

 • Tajik

  PDF

  Kitabu hiki kinaonyesha mjadala kati ya Ahmad Diydat na baadhi ya Maaskofu ambao wanafanya ujanja kwa kupinga na kukanusha Bishara ya Muhammad (s.a.w) katika kitabu kitakatifu, pamoja na kupindisha kwao kwa hakika kuna baadhi ya bishara ambazo haiwezekani kuwepo kwa mwengine zaidi ya Muhammad (s.a.w).

 • Tajik

  PDF

  Katika makala hii anasherehesha muandishi Hadithi Dini ni kupeana nasaha.

 • Tajik

  PDF

  Katika makala haya kisa cha Mmoja alie silimu Mkristo wa Ulaya.

 • Tajik

  PDF

  Makala hii yamzungumzia mwanamke kutokea Urusi kenda Dubai akakutana na familia yenye dini akasilimu, kisha akaolewa na mmoja katika watoto wamzee mwenye familia, na anazungumzia namna alivyo shikamana na hijabu ya kisheria.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu