Hukumu Ya Mwanamke Kwenda Hijja Peke Yake

Maelezo

Mada hii inazungumzia: Haifai kwa mwanamke kusafiri peke yake kwenda Makka kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hajji mpaka awe na mahram nao ni Baba, babu, watoto, mume nk. pia imezungumzia hadhi na heshima ya mwanamke

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: