Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake
Maelezo
1- Mada hii inazungumzia: Maana ya Hijja kilugha na kisheria, na ni nguzo katika nguzo tano za uislam, pia imebainisha kwamba Hijja ni fardhi inatekelezwa mara moja katika umri.
2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa mwenye kuhiji kuwa na nia thabiti pamoja na kujikurubisha kwa Allah, pia imezungumzia mambo ya kujifunza katika ibada ya Hijja na tahadhari ya kuiga uzushi.
3- Mada hii inazungumzia: Hijja na Umra na fadhila zake pamoja na alama za mwenye kufanya Hijja ya kweli, pia imezungumzia kwamba Hijja ni fardhi kwa waislam wote wanaume na wanawake.
4- Mada hii inazungumzia: Aina za maandalizi ya Hijja na imefafanua kuhusu Hijja ya mtoto mdogo, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga utaratibu na makatazo baada ya Ihram.
5- Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyoruhusu kumuhijia mzazi asiyejiweza kutokana na uzee au ugonjwa, na kwamba inafaa mwanaume kumuhijia mwanamke na mwanamke kumuhijia mwanaume, pia mada hii ina maswali na majibu.
- 1
Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 1
MP3 3.1 MB 2019-05-02
- 2
Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 2
MP3 3.1 MB 2019-05-02
- 3
Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 3
MP3 3.4 MB 2019-05-02
- 4
Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 4
MP3 4.4 MB 2019-05-02
Utunzi wa kielimu: