-
Yahya Ahmed Alhalily "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Shekh Yahya Ahmed Alhalily: Amezaliwa katika kijiji cha Alhalilah katika mji wa Swana'a Yemen mwaka 1952, alijiunga na Halaqa ya kuhifadhi Qur'an tukufu katika Msikiti Mkuu wa Swana'a na akakamilisha kuhifadhi Qur'an tukufu mwaka 1962, kisha akasoma elimu ya visomo saba kwa wanachuoni tofauti mwaka 1973, na alifanya kazi ya kufundisha Qur'an tkufu tangu mwaka 1970, pia alikua Imamu na khatwib katika Msikiti mkuu wa Tahrir katika mji wa Swana'a Yemen.