Mada hii inaelezea: Allah ameijaalia ardhi yote kuwa twahara kwa Ummati Muhammad (s.a.w), popote ikupatapo swala unaswali, pia imezungumzia mahala na sehem zilizo katazwa kuswali
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa mambo yanayo ruhusiwa na yanayo katazwa kuyafanya Msikitini, pia imeelezea ubora wa Swala ya mwanamke ni kuswalia nyumbani
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa sababu za mtu kuacha kwenda kuswali Swala ya jamaa ni khofu, maradhi na mvua nk. Pia imeelezea ubora na fadhila za Misikiti, wa kwanza ni Msikiti wa Makkah kisha Msikiti wa Madina.
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa adabu za kuingia Msikitini kama livyofundisha Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumfuata Imamu katika hali yoyote uliyomkuta