Mada hii inaelezea: Malipo ya mwenye kuswali Swala ya Afajiri kisha akamtaja Allah mpaka Jua likachoza ni sawa na malipo ya mtu aliyefanya Hijja na Umra.
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa faida ya Swala ya jamaa ni mafunzo kwa yule asiyejua baadhi ya vitendo vya Swala, na usawa unaopatikana ndani yake baina ya tajiri na masikini n.k.
Mada hii inaelezea: Makosa ya baadhi ya watu kutoka Msikitini baada ya Adhana, pia imezungumzia kua swala ya jamaa nisababu ya kuleta umoja katika uislam.