Utunzi wa kielimu

  • Kifurusi

    PDF

    Uislamu ni Dini ya maendeleo na utamaduni: Uislamu umeweka misingi ya maendeleo na utamaduni, utayapata hayo kwa njia nyingi mfano: kwenye siasa, ukombozi wa miji ktk Uislamu, uchumi ktk Uislamu, namna Uislamu unavyo simamia dhulma na kuweka visase, na mengineyo tofauti na hayo.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu