-
Maelezo :Hasan Muhammad Swalih: Ni msomaji Mmisri amezaliwa sehem iitwayo Mahmudiyyah katika mji wa Buheyrah, amehitimu masomo katika Maahad, na akasoma elimu ya visomo kumi, na akajiunga na kitivo cha elimu ya Qur'an, nae ni Imamu katika Markaz ya kiislam katika mji wa New York