-
Shirzad Abdul Rahman Twaher "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Shirzad Bin Abdul Rahman Bin Twaher Bin Hasan: Amezaliwa mwaka 1968 kaskazini mwa Iraq, amesoma kwa Mashekh mbalimbali wa Iraq miongoni mwao ni Shekh Abdullatwif Bin Khalil Aswufy, na Shekh Alhafidh Ally Bin Hasan Alwaswaby, na Shekh Alhafidh Almuqry Abdul Razaq Muhammad Umaarah, na alikua Imamu katika Misikiti mingi katika Nchi ya Iraq, Yemen na Imarat.