-
Mustafa Raad Al-Azzawi "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Mustafa Raad Al-Azzawi: Amezaliwa 19-4-1986 Adhwamiya Baghdad Iraq, alikua ni mwana chama katika jumuiya ya wasomaji wa tajweed wa Iraq na ameshiriki mashindano mengi tofauti tofauti, amefariki 26-5-2007, Mwenyezi Mungu amrehem.