-
Rashad Mohammed Sharif "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Rashad Mohammed Bin Abdul Salam bin Abdul Rahman al-Sharif, alizaliwa katika mji wa Khalil Palestina mwaka 1925 M.Nanikatika wasomaji mashuhuri duniani,nanimsomaji wa msikiti mtukufu wa Aqsaa,na msikiti wa Al-ibrahimy katika mji wa Al-khalil,alihamiya jordan mwaka 2002,na alikuwa imamu katika msikiti wa mfalme Abdullah Al-Awal katika Abdali.