• Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 3661

  Muhammad Salih Al-Munajjid nimsimamizi wa tovuti tofauti za kiislam zinafikia 8.alianzisha tovuti ya kiislam swali na jibu (www.islam.ws) mwaka 1996. Kazi bado inaendelea ambapo kwa sasa ni (www.islamqa.com)

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1651

  Ni Abuu Abdillah Muhammad Ibn Swaleh bin Swaleh bin Sulaiman bin Abdul Rahman bin Othman bin Abdullah bin Abdulrahman bin Ahmed bin Muqbil katika Ali Muqbil katika Al Raes Al Wahbiy AlTamimi, na Babu yake wa nne Othman ndie alie itwa Uthaymeen, akajulikana kwa jina hilo, nae nikatika kizazi cha Wahb katika ukoo wa Tamiim , kutoka katika sehemu inaitwa Alwashmu mpaka Unayzah.

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 1627

  Shekh Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz Mufti wa Ufalme wa Saudi Arabia, na nimkuu wa wanachuoni waandamizi,saudi arabia,alizaliwa 12/1330 H Riyadh,na amefariki alkhamisi 27/1/1420 H,na tovuti ya shekh ni: www.binbaz.org.sa

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 1095

  Shekh Abubakari Shabani Rukonkwa: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni msimamizi wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni mlinganiaji katika chanel ya TV Africa na ni Khatwibu katika misikiti ya Answar Tanga Tanzania.

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 711

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 598

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 495

  Mjumbe wa Baraza la Wasomi Wakubwa katika nchi ya Saudi Arabia

 • Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 452

 • Mtunzi, Mkarimani, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 359

  Sheikh Yasini Twaha Hassani Mwenyeji wa Kigoma nchini Tanzania Mlinganiaji wa Dini ya Kiislam kasoma chuo kikuu nchini Saudi arabia (Riyadh) Elimu ya Sheria kitengo cha (usuluddin) pia nimfasiri wa vitabu vya kiarabu kwa lugha ya kiswahili, na muhadhiri katika TV Afrika swahili, na Imamu na khatwibu wa masjid Answar sunna Mwanga Kigoma mjini nchini Tanzania.

 • Bilal Philips Kiswahili

  Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 325

  Abu Ameenah Bilal Philips alizaliwa katika Jamaica,Na kukulia katika Canada ambapo yeye alitangaza uongofu wake kwa Uislamu mwaka 1972.Alikamilisha Stashahada kutoka Kitivo cha Kiarabu workouts Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Madina almunawara mwaka 1979.Na alikamilisha shahada ya bwana katika dini kutoka Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Riyadh, Chuo cha Elimu mwaka 1985.Katika masomo ya Kiislamu Idara katika Chuo Kikuu cha Wallis,Kukamilika udaktari katika misingi ya Kiislamu mwaka 1994. Mwaka 1994, Dk Bilal alianzisha Kituo cha Habari cha Kiislamu katika mji wa Dubai,katika Falme za Kiarabu, na sasa kinajulikana Discover Islam. Kama alivyo anzisha kitengo cha fasihi ya kigeni katika House press Sharjah Islamic conquest.

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 291

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 270

  Ni shekh Abdul Rahman bin Abdul Karim Sheihah Alizaliwa katika mji wa Riyadh, Saudi Arabia mwaka 1958.Kiwango chake cha elimu:Elimu ya kati na sekondari kasoma katika Taasisi ya elimu kwa elimu za sheria na kiarabu Riyadh. • ana shahada ya chuo kikuu katika lugha ya Kiarabu na fasihi mwaka 1982.Yeye ana shahada ya bwana katika masomo ya Kiislamu katika 2004.Yeye ana shahada ya udaktari katika utamaduni wa Kiislamu mwaka 2009.

 • Mwenye kufanya Marejeleo, Mtunzi, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 229

  Shekh Yunus Kanuni Ngenda: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mhakiki wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni Imamu na Khatwib Masjid Rahman, Mbezi Beach Dar Es Salaam Tanzania.

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 228

  Yeye ni Sheikh Muhammad bin Abdul-Wahhab bin Sulaiman A'ttamiymy, kazaliwa mwaka 1115هـ katika mji wa Uyaina Najdi katika Jazira ya kiarabu, ana vitabu vingi, na wameshuhudia juu yake wanachuoni kwa Elimu na Dini na Msimamo, na amefariki mwaka 1206 هـ Mwenyezi Mungu amrehemu akiwa na myaka 91

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 203

 • Mtunzi, Msomaji, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 202

  Imamu na khatwibu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w).

 • Mwenye kufanya Marejeleo, Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 189

 • Saad Al-Ghamdi Kiswahili

  Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 180

  Saad bin Saeed Al-Ghamdi, Msomaji maarufu mwenye sauti nzuri, imam na mhubiri msikiti wa Kano - Dammam - Saudi Arabia, na msimamizi mkuu wa kituo cha Imam Shatwiby cha Koran tukufu Dammam.

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 174

  Mwana chuoni Shekh Muhammad Nasiruddin Al-Albani ni mmoja ya wanachuoni wa kiislam Mashuhuri katika zama za sasa na anazingatiwa Shekh Al-Albani nikatika wanachuoni wa Fani ya Hadithi mashuhuri wakipekee katika elimu ya Jarhi na Taadili (Kukosowa), Shekh Al-Albani ni Hoja katika Elimu ya Misingi ya Hadithi (Mustwalahu Alhadithi), walimzungumzia wanachuoni wa fani ya Elimu ya Hadithi kwamba Shekh Al-Albani alirudisha fani ya Hadithi katika zama za Ibn Hajar Al- Asqalan, na Alhafidh Ibn Kathir na wenginewe katika wanachuoni wa Fani ya Jarhi na Taadili. Jejea :Tovuti ya Imamu Al-Albani.http://www.alalbany.net

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 165

  Shaykh Al-Islam Ibn Taymiyyah Mungu Amrehemu: Ahmad Taqiy Al-Din Abu Al-Abbas Bin Abdul Halim Bin Abdul Salam Bin Abdullah Bin Abu Al-Qasim Alkhadhwar Bin Mohammed Bin Khadhwar Bin Ali Bin Abdullah Ibn Taymiyyah Al Harrany. Wametaja wanachuoni wa Tarjama Qauli tofauti katika sababu ya ya kuitwa familia yake kwa jina la (Al Taymiyyah), miongoni mwa Qauli zao, niqauli ya Ibn Abdul Hadiy Allah amrehemu: (Babu yake Muhammad mama yake alikuwa anaitwa Timiyyah), na alikuwa nimtoa Mawaidha akanasibishwa na Taymiyyah.na Inasemekana : Hakika babu yake Muhammad Bin Khadwar alifanya Hajji akaona mtoto kwa mbali, alipo rudi alimkuta mke wake amejifunguwa mtoto wa kike akasema :Ewe Taymiyyah ewe Taymniyyah,Akaitwa hivyo.

Ukurasa : 8 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu