- The Noble Quran
- Sunnah of Prophet Muhammad
- Islamic Creed
- Tawhid (Monotheism)
- Worship
- Islam
- Imān (Faith)
- Matters of Faith
- Benevolence
- Disbelief (Infidelity)
- Hypocrisy
- Shirk (Polytheism)
- Religious Innovation: Types and Examples
- Companions and Family of Prophet Muhammad
- Tawassul (Solicitation)
- The Concept of the Miraculous Acts Done by Some Righteous People
- Jinn
- Loyalty and Friendship vs Disavowal and Enmity
- Ahl-us-Sunnah wa al-Jama‘ah
- Doctrines and Religions
- Sects
- Attributed Sects to Islam
- Contemporary Ideological Doctrines
- Islamic Jurisprudence
- Acts of Worship
- Purification and its Rulings
- Prayer
- Rulings of Funeral
- Zakah
- Fasting
- Pilgrimage and Umrah
- Friday Sermon
- Prayer of the Sick
- Prayer of the Traveler
- Prayer during Fear
- Transactions
- Oaths and Vows
- Family
- Marriage
- Divorce
- Recommended and Disliked Divorce
- Revocable and Irrevocable Divorce
- Woman’s Waiting Period
- Li‘ān (Husband Swearing His Wife Had Intercourse with Another Man)
- Zihār (Likening One’s Wife to His Mother; To Prevent Her On Himself)
- ilā’ (Swearing Not to Intercourse with One's Wife)
- Wife Seeking Divorce
- Taking back One's Divorced Wife
- Breastfeeding
- Child's Custody
- Alimony
- Clothes and Adornment
- Entertainment
- Muslim Society
- Youth Affairs
- Women Affairs
- Children Affairs
- Medicine and Treatment and Islamic Faith-Healing
- Foods and Drinks
- Islamic Criminal Law
- Judiciary System in Islam
- Jihad
- Fiqh of Contemporary Issues
- Fiqh of Minorities
- Islamic Policy
- Schools of Islamic Jurisprudence
- Fatāwa (Fatwas)
- Fundamentals of Islamic Jurisprudence
- Books on Islamic Jurisprudence
- Acts of Worship
- Virtues/Noble Characteristics
- Arabic Language
- Calling to Allah's Religion
- Issues That Muslims Need to Know
- Softening Hearts Reminders
- Promotion of Virtue and Prevention of Vice
- Current State of Calling to Allah's Religion
Vitabu
Idadi ya Vipengele: 106
- Kiswahili
Hii ni Risala kwa ufupi ikibainisha mambo amabyo yanayo pasa kwa Mwanadamu kujifunza na kuyaamini, katika mambo ya Tawhidi na misingi ya dini na baadhi ya mambo ambayo yanayo ambatana nayo, ambayo yamechukuliwa kutoka katika vitabu vya itikadi za maimamu wanne: Imamu Abuu Hanifa na Imamu Maliki na Shafy na Imamu Ahmad Bin Hambal na wafuasi wao Mwenyezi Mungu awarehemu na wale walio jikusanya katika itikadi ya Ahlusunnahh waljamaa na hawakuhitalafiana.
- Kiswahili
- Kiswahili Mwandishi : Yasini Twaha Hassani Mwandishi : Yunus Kanuni Ngenda Mwandishi : Abubakari Shabani Rukonkwa Tafsiri : Yasini Twaha Hassani Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa Msambazaji : Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Kitabu hiki kinazungumzia: Umuhimu wa tawhidi ya kweli na kwamba Mitume wote wa Allah walitumwa kuja kuwafundisha watu tawhidi ya kweli nayo ni kumuabudu Allah peke yake na kujiepusha na shirki.
- Kiswahili Mwandishi : Saleh bin Fawzan Al-Fawzan Tafsiri : Yasini Twaha Hassani Tafsiri : Abubakari Shabani Rukonkwa Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda Msambazaji : Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Kitabu hiki kinazungumzia masomo katika umuhimu wa Tawhiid kimezungumzia: Walaa na Balaa, na uislam ndio dini ya nabii Ibrahim, Niwajibu kwa Mwanadamu amuabudu Mwenyezi Mungu peke yake, jambo kubwa alilo amrisha Mwenyezi Mungu waja wake ni Tawhiidi, na Nini maana ya Tawhiidi.?
- Kiswahili Mwandishi : Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al-Uthaymeen Tafsiri : Abubakari Khatwibu Al-Atrash Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kinazungumzia: Hukumu za twahara ikiwemo namna ya kutawadha, na kuoga, na kutayamam, na kupangusa kwenye khofu, na namna ya kujitwaharisha mginjwa, na namna ya kuswali mgonjwa.
- Kiswahili Mwandishi : Muhammad bin Abdul-Wahhab
Kitabu hiki kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, kinazungumzia: Maana ya uislamu, ubora wa uislamu na uwajibu wa kuingia katika uislamu.
- Kiswahili Mwandishi : Muhammad bin Abdul-Wahhab Kurejea : Muhammad Bawazir
Kitabu hiki kinazunguzi misingi mitatu ya Tawhidi
- Kiswahili Mwandishi : Ahmed bin Abdul Halim bin Taymiyyah
Kitabu hiki kinazunguzia mas’ala ya Aqidah (Tawhid)
- Kiswahili
- Kiswahili Mwandishi : Swalehe Muhammad Kayamboo
Hiki ni kitabu kilichotayarishwa kwa lengo la kuwapatia wasomaji, suluhisho la matatizo wanayoyapata watu wengi wanapotaka kufahamu ni ipi Dini ya Haki.
- Kiswahili
- Kiswahili
- Kiswahili
- Kiswahili Mwandishi : Said Ali ibn Wahf AI-Qahtaani
Maombi kutoka kwenye Qur'ani na Sunna
- Kiswahili
- Kiswahili Mwandishi : Abdul Mohsen Al-Qasim
TAWHIDI KATIKA HOTUBA ZA AL-MASJID AN-NABAWI
- Kiswahili Tafsiri : Kundi la wana wa chuoni
Tafsiri hii ya Qur’an Takatifu ambayo ni maarufu kwa jina la Tafsiri ya Ibn Kathir iliandikwa na AI-Hafidh Abu AI-Fida ‘Imad Ad-Din Ismail bin Umar bin Kathir AI-Quraishi Al-Busrawi (Aliyekufa Mwaka 744 H) ni tafsiri maarufu sana kati ya Tafsiri za Qur’an katika lugha ya Kiarabu, na Waislam wengi wanaiona kuwa ni yenye marejeo mazuri kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah. Kazi hii ya .Kiarabu ina kurasa elfu tatu na mia mbili katika juzuu nne Darussalam ya Saudi Arabia walichagua jopo la Wanazuoni wa Kiislam kuandika muhtasari wa Tafsiri Ibn Kathir katika lugha ya asili ya Kiarabu. Sheikh Abu AI-Ashbal Ahmad Shaqif wa Rabitah AI-Alam AI-Islami, Makka, na Sheikh Safiur-Rahman Al-Mubarakfuri, Mkuu wa kamati ya Utafiti ya Darussalam waIifanya kazi na kikundi cha wanazuoni kwa takriban Miaka minne kufanikisha azma hiyo. Na Darussalam wakaja na toleo lililofupishwa katika lugha ya Kiarabu, kwa jina la Al-Misbah AI-Munir Fi- Tahdhib Tafsir Ibn Kathir. Tafsiri hii ya Kiswahili ni ya Kitabu hiki cha Kiarabu Al-Misbah AI-Munir Fi- Tahdhib Tafsir Ibn Kathir. .Fikra hii ilianza Mwaka 2005 na kutumia Miaka 17 takriban mpaka kukamilika Tarjama hii ni juhudi kubwa iliyoshirikisha Masheikh na wataalamu wetu wa fani mbalimbali za Dini ya Kiislamu na lugha zote husika. Katika kipindi cha miaka 17, Mradi huu wa Tarjama hii umepitia awamu mbalimbali, tutajitahidi kuzielezea hapa zile awamu muhimu tu na pia tutajitahidi kuwataja baadhi ya walioshiriki katika ,juhudi hii kwa njia moja au nyingine 1. Tarjama hii ya Kiswahili imehaririwa kwa kupitiwa mara tano na Ustadh Yassir Salim Awadh Masoud, Msimamizi Mkuu wa Mradi huu. 2. Tarjama hii ya Kiswahili kwa kulinganisha na Kiarabu imepitiwa mara moja kwa ukamilifu na mara ya pili kwa kupitia maeneo mengi kwa lengo la kuiboresha na kuifanyia uhakiki na Sheikh Seif Abubakar Ruga. 3. Katika kuipitia rasimu ya pili iliyohakikiwa, kwa lengo la kuiboresha na kuihakiki zaidi, ilibidi tuwashirikishe Wataalamu wetu wengine zaidi wa Dini ya Kiislamu. Kwa sababu tafsiri ina kurasa zaidi ya elfu saba (7000), si rahisi kazi hii ikafanywa na mtu mmoja wa enzi hizi, hivyo basi tukazigawanya sura na juzuu kwa kuwapa Masheikh kuzipitia na kuzihakiki kwa kulinganisha na Tarjama asili ya Kiarabu. Hivyo basi, baadhi ya Sura na juzuu zilipitiwa na Masheikh wafuatao, Al Marhum Sheikh Suleyman Amran Kilemile, Sheikh Muharram Juma Doga, Sheikh Seif Abubakar Ruga, Sheikh Khatib Mussa Giragiza, Sheikh Mohamed Ali Kibabu, Sheikh Ali Asaa, Sheikh Khamisi Liyenike, na Sheikh Said Bawazir. Na wengine wengi unaweza kurejea juzuu ya kwanza ya tafsiri hii.
- Kiswahili
- Kiswahili
- Kiswahili