Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Quran Sciences

Idadi ya Vipengele: 2

  • Kiswahili

    PDF

    kitabu hiki cha Habari Kubwa – kiko tofauti na vitabu vingine vya miujiza ya Qurani – kwani kinajipambanua kwa mambo mengi, miongoni mwayo ni a)- Ufafanuzi mzuri, ibara nyepesi, na dibaji mzuri) b- Kitabu kipo katika umbo la kati na kati, hivyo msomaji hachoshwi wala hatakiona kuwa ni kirefu sana. c- Kinazungumza hasa na kizazi hiki. Kizazi ambacho kipo mbali mno na wema waliotangulia na wanazuoni waliopita. Mwandishi – Allah amrehemu – amedhihirisha maarifa ya kina kwa kutumia Qurani. Na uwezo mzuri sana wa kubainisha Miujiza kwa kutumia ibara nyepesi na kwa njia fupi.

  • Kiswahili

    PDF

    MLANGO WA KUINGILIA KATIKA QUR`AN TAKATIFU UWASILISHAJI WA KIHISTORIA NA UCHAMBUZI LINGANISHI

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1