Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Belief in Messengers and Their Attributes

Idadi ya Vipengele: 64

  • Kiswahili

    YOUTUBE

    Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza ndani ya Qur’an aliyopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa kupasuka mwezi, pia imezungumzia miongoni mwa miujiza ya Mtume (s.a.w) ni kulizuia jua, na kutoa maji katika vidole vyake Mtume (s.a.w).

  • Kiswahili

    YOUTUBE

    Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa miujiza aliopewa Mtume (s.a.w) ni muujiza wa Qur’an tukufu ambao unaitwa muujiza mkubwa, pia imezungumzia miujiza iliyomo ndani ya Qur’an, na namna makafiri walivyoshindwa kuleta mfano wa Qur’an.

  • Kiswahili

    YOUTUBE

    Mada hii inazungumzia: Miujiza ni kwa Mitume wa Mwenyezi Mungu na imebainisha tofauti kati ya karama na uchawi, na kwamba karama inakua kwa mtu mwema na uchawi ni kwa mtu muovu, pia inazungumzia miongoni mwa dalili za miujiza.

  • Kiswahili

    YOUTUBE

    Mada hii inazungumzia: Miujiza ya Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na imebainisha tofauti kati ya miujiza ya Manabii waliopita na miujiza ya Mtume Muhammad (s.a.w), pia imezungumzia tofauti kati ya muujiza na karama, na sababu ya Mitume kupewa miujiza.