- The Noble Quran
- Sunnah of Prophet Muhammad
- Islamic Creed
- Tawhid (Monotheism)
- Worship
- Islam
- Imān (Faith)
- Matters of Faith
- Benevolence
- Disbelief (Infidelity)
- Hypocrisy
- Shirk (Polytheism)
- Religious Innovation: Types and Examples
- Companions and Family of Prophet Muhammad
- Tawassul (Solicitation)
- The Concept of the Miraculous Acts Done by Some Righteous People
- Jinn
- Loyalty and Friendship vs Disavowal and Enmity
- Ahl-us-Sunnah wa al-Jama‘ah
- Doctrines and Religions
- Sects
- Attributed Sects to Islam
- Contemporary Ideological Doctrines
- Islamic Jurisprudence
- Acts of Worship
- Purification and its Rulings
- Prayer
- Rulings of Funeral
- Zakah
- Fasting
- Pilgrimage and Umrah
- Friday Sermon
- Prayer of the Sick
- Prayer of the Traveler
- Prayer during Fear
- Transactions
- Oaths and Vows
- Family
- Marriage
- Divorce
- Recommended and Disliked Divorce
- Revocable and Irrevocable Divorce
- Woman’s Waiting Period
- Li‘ān (Husband Swearing His Wife Had Intercourse with Another Man)
- Zihār (Likening One’s Wife to His Mother; To Prevent Her On Himself)
- ilā’ (Swearing Not to Intercourse with One's Wife)
- Wife Seeking Divorce
- Taking back One's Divorced Wife
- Breastfeeding
- Child's Custody
- Alimony
- Clothes and Adornment
- Entertainment
- Muslim Society
- Youth Affairs
- Women Affairs
- Children Affairs
- Medicine and Treatment and Islamic Faith-Healing
- Foods and Drinks
- Islamic Criminal Law
- Judiciary System in Islam
- Jihad
- Fiqh of Contemporary Issues
- Fiqh of Minorities
- Islamic Policy
- Schools of Islamic Jurisprudence
- Fatāwa (Fatwas)
- Fundamentals of Islamic Jurisprudence
- Books on Islamic Jurisprudence
- Acts of Worship
- Virtues/Noble Characteristics
- Arabic Language
- Calling to Allah's Religion
- Issues That Muslims Need to Know
- Softening Hearts Reminders
- Promotion of Virtue and Prevention of Vice
- Current State of Calling to Allah's Religion
Fasting Rulings
Idadi ya Vipengele: 16
- Kiswahili Mhadhiri : Qasim Mafuta Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
1- Khutuba ya Iddi amezungumzia neema ya kuwa na uongofu nakufikishwa katika mwezi wa Ramadhan, na wepesi wa kumalizika umri, na kwamba Ramadhani nishule, na malengo ya swaumu niuchamungu, na kulifikia lengo hilo nikufanya mema baada ya Ramadhani. 2- Khutuba ya Iddi amezungumzia sababu za kufuata makundi yalio potea na fikra potovu nikuto kuisoma elimu ya dini, na kukosa malezi bora kwa mtoto, na wazazi kuwatupa watoto wao, Na kuinusuru dini nikuisoma dini, pia ametaja adabu za Iddi
- Kiswahili Mhadhiri : Qasim Mafuta Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda
Mada hii inazungumzia: Mambo yanayoifanya swaumu iwe sahihi na yanayoifanya swaumu kuwa si sahihi, pia imezungumzia umuhimu wa kujiepusha na uongo, kusengenya, na dhulma na vikao vya kipuuzi ndani ya mwezi wa Ramadhani.
- Kiswahili Mhadhiri : Abubakari Shabani Rukonkwa Kurejea : Yasini Twaha Hassani
Mada hii inazunguzia Suna za swaumu ikiwemo ubora wa kufungua mapema, na kufturu kwa tende au maji, na kuchelewesha daku.
- Kiswahili Mhadhiri : Abubakari Shabani Rukonkwa Kurejea : Yasini Twaha Hassani
Mada hii inazunguzia Nguzo za swaumu ikiwemo Nia ambayo mahala pake nimoyoni, pia kujuwa wakati wa kufunga tangu kutoka Alfajiri mpaka kuzama jua, na kujiziwiya na vitu vinavyo funguza .
- Kiswahili Mhadhiri : Yasini Twaha Hassani Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia:Hukumu ya kuutangulia mwezi mtukufu wa ramadhani, na maana ya shaka ilio katazwa kufunga ndani yake, pia kaeleza mwanzo wa kufunga na kufungua, pia kaelezea uwajibu wa kufunga kwa mwezi wa kutangaziwa na waislam.
- Kiswahili Mhadhiri : Abubakari Shabani Rukonkwa
1- Mada hii inazungumzia hukumu za kula daku sehemu ya kwanza inazungumziya furaha mbili za mfungaji,na Baraka za kula daku,na ubora wakula daku. 2- Mada hii inazungumzia hukumu za kula daku namakusudio ya Baraka katika kula daku,na muda wakula daku.
- Kiswahili Mhadhiri : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia sifa za wafungaji ambazo wanatakiwa wajipambe nazo.
- Kiswahili Mhadhiri : Saidi Nyange Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia hukumu za kulipa swaumu ambazo zilizo mpita muislam katika mwezi mtukufu wa ramadhani
- Kiswahili Mhadhiri : Salim Qahtwani Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia hikima mbalimbali za funga na siri mbalimbali,na mambo mengi yaliyomo katika ramadhani,na sifa za watu wema katika swaumu.
- Kiswahili Mhadhiri : Abuu Bilal Athumani Bun Nouman Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia muda ambao anatakiwa kufunguwa mfungaji.
- Kiswahili Mhadhiri : Abuu Bilal Athumani Bun Nouman Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia hali ya waislam wakwanza katika kufunga,na wakati wakuanza kufunga,na toauti baina ya alfajiri yakweli na alfajiri ya uongo.
- Kiswahili Mhadhiri : Abuu Bilal Athumani Bun Nouman Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia utukufu wa swaumu katika fidia za makosa mbalimbali,na maajabu ya pepo ya wafungaji(arayaan).
- Kiswahili Mhadhiri : Abuu Bilal Athumani Bun Nouman Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia kula daku na fadhila za kula daku,na daku bora kwa muislam,na uchache wa daku,hukumu ya kuchelewesha daku.
- Kiswahili Mhadhiri : Abuu Bilal Athumani Bun Nouman Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia rehema ya allah kwa waja wake wadhaifu,na swaumu ya mwnye mimba na anae nyonyesha.na wakati anao takiwa kula alie funga swaumu.
- Kiswahili Mhadhiri : Abuu Bilal Athumani Bun Nouman Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia mambo yaliyo ruhusiwa kwa alie funga kuyafanya,kama kuamka na janaba,na kupiga mswaki,nayoote yasio funguza katika quraan na sunnah.
- Kiswahili Mhadhiri : Salim Barahiyan Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa
Mada hii inazungumzia mwezi mwandamo na uwajibu wa muislam pindi unapo onekana mwezi,na kuwatanabaisha waislam kuhusu ubainifu wa mwezi wa kitaifa na kimataifa,na umuhimu wa kufunga kama alivyo funga mtume (s.a.w)