Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Etiquette of Marriage

Idadi ya Vipengele: 4

  • Kiswahili

    MP3

    Mhadhiri : Qasim Mafuta Kurejea : Yasini Twaha Hassani

    Mada hii inazungumzia: Sheria ya kuoa wake zaidi ya mmoja na uadilifu katika kutekeleza haki za wake, na chanzo cha kukataa mke kuongezewa mke wa pili, na msimamo na subra kwa alie ongeza mke wa pili. 2- Mada hii inazungumzia:Utukufu wa ndoa na nasaha muhimu kwa mume katika kuoa, pia ndoa nisheria ya Allah, na pia inazungumzia malengo makuu ya sharia ya kiislam, ikiwemo kuhifadhi kizazi, na hukumu ya kuoa zaidi ya mke mmoja, na hukumu za kisheria katika kuoa wake zaidi ya mmoja.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazunguzia Sharti za Walii katka ndoa,katika yalio zungumzwa:Sharti za walii,na Umuhumu wa kuheshimu Ndoa,na wanavyo takiwa wawe wanandoa.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia adabu za siku ya kwanza ya kukutana mume na mke kwajili ya kushiriki tendo la ndoa.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia mwelekeo wa mwanadamu na uwajibu wa kujitambua,na udhalili wa mwanadamu,na udanganyifu wa dunia.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1