Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Idadi ya Vipengele: 3

  • Kiswahili

    YOUTUBE

    Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

  • Kiswahili

    MP4

    Mada hii inazungumzia: Ubaya wa ushirikina na haatari ya kumsingizia mwanamke uchafu wa zinaa na kwamba uislamu umelinda hadhi na heshima ya mwanamke, pia imezungumzia maana ya msemo: “Hakuna anae towa fatwa na Imamu maliki akiwa madina”.

  • Kiswahili

    MP4

    Mada hii inazungumzia: Madhambi saba yenye kuangangamiza, na kwamba ni lazima mwislamu ajiepushe nayo kama alivyosema Mtume (s.a.w), pia imezungumzia hatari ya ushirikina na kwamba mshirikina akifa bila kutubu mafikio yake ni motoni.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1