Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Imān (Faith)

Idadi ya Vipengele: 23

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Uislamu aliokuja nao Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na namna alivyolingania watu katika uislamu na huruma kwa umma wake, na uislam haikuja kwa upanga.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia mambo yafuatayo: umuhimu wa kuwatii viongozi, fitina za zama za mwisho na maana halisi ya jamaa.

  • Kiswahili

    MP3

    Mhadhiri : Yunus Kanuni Ngenda Mhadhiri : Ahmad Al Zahran Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia uhakika wa Nabii Issa ndani ya Qur’an tukufu, na katika Biblia, na sababu ya kupandishwa Mbinguni.

  • Kiswahili

    MP3

    • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujitoa katika fitna,namambo aliyo tabiri Mtume s.a.w, ktk zama za mwisho. • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na ubaya wa fitna na shubuhati • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na Ubora Wa Subra Katika zama za fitna,na hasara ya kufanya mambo kwa jazba • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na aina za utawala baada ya Mtume s.a.w, na ujumbe aliouacha Mtume s.a.w kuhusu utawala baada yake.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia mambo 6 ambayo muislam amepewa dhamana ya kuingia peponi mwenye kuyahifadhi.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia nanma ya kuadhini na fadhila za adhana na sifa za muadhini,na ubora wa kusoma duwa baada ya adhana na sababu za kukubaliwa dua.na sifa ya swala ya mtume alayhi salam.

  • Kiswahili

    MP3

    Mhadhiri : Yusufu Abdi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuamini Qadari na kwamba kila kitu anapanga Allah, pia imezunguzia muislam anatakiwa kuishi na watu vizuri pamoja kutosheka na kichache anachopata.

  • Kiswahili

    MP3

    Mhadhiri : Qasim Mafuta Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    1- Mada hii inazungumzia: Zama za fitna na kwamba nilazima watu wachukue tahadhari, pia imezungumzia umuhimu wa kutafuta elim yenye manhji ya kufuata sunna za Mtume (s.a.w). 2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa muislam madhubuti katika imani yake, pia imezungumzia hatari ya kufuata au kufanya jambo bila ya elim, nakwamba nisababu ya kuingia katika fitna.

  • Kiswahili

    MP3

    1. Mada hii inazungumzia khutba ya mkosi na sababu ya kuitwa hivyo pia amezungumzia vitisho vya siku ya Qiyama. 2. Mada hii inakamilisha mada iliyo pita imeelezea hali za watu wamotoni na vyakula vyao na nguo zao, pia mezungumzia maneno ya shetani atakayo zungumza motoni.

  • Kiswahili

    MP3

    Mhadhiri : Swalehe Ibrahim Kurejea : Yasini Twaha Hassani

    1- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama za Qiyama ni pindi itakapo potea amana na atakapo pewa majukum mtu asiyefaa basi subirini Qiyama, pia imezungumzia umuhimu wa kuchagua viongozi wanao faa 2- Makala hii inazungumzia: Madhara ya kutegemeza majambo kwa wanawake na watu wajinga wasio na elimu basi umauti ni bora kuliko kuishi, pia imeelezea hatari za ubakhili.

  • Kiswahili

    MP3

    1- Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuandaa darsa kwa wanawake, kwasababu ndio wengi motoni, na ametaja sababu za kuwa wengi motoni, kasha amehusiya watu wahifadhi ndimi zao. 2- Mada hii inazungumzia sababu ya wanawake kuingia motoni kama kulani sana na kukataa wema wa mume wake, ametaja jinsi mwaname anavyo shawishika katika zama hizi, kisha amezungumzia maana ya ugeni katika dini . 3- Mada hii inazungumzia baadhi ya mifano kwa wanawake walio pata mateso lakini wakathibiti katika dini, kama Mwanamke aliekuwa anafanya kazi ya kuwasuka mabinti wa Firauni, na mke wa Firauni amehimiza umuhimu wa kuithamini Dini. 4- Mada hii inazungumzi halia za wanawake wa kiislam na udhaifu wao katika ibada nakudai kwao haki sawa, na baadhi ya hoja dhaifu katika kuvaa hijabu, kisha akabainisha umuhimu wa mwanamke wa kiislam kushikamana na dini. 5- Mada hii inazungumzia tabia ya kusengenya wanawake, na uharamu wake, na uwajibu wa kuhifadhi ndimi, kisha akataja kuwa mwanamke atakaeshikamana na dini atakuwa peponi na familia yake.

  • Kiswahili

    MP3

    Makala hii inazunguzia:Mambo manne mwenye kuyafanya yote kwa ujumla atapata pepo, miongoni mwa mambo hayo ni kufunga na kutoa sadaka na kumtembelea mgonjwa…

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Namna za kuhama katika uislam, kabainisha maana ya kuhama sifa za maswahaba wa Madina na wale walio hama kutoka Makkah kwenda madina,na sababu ya kuhama.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Kufaulu kukubwa na maana yake, na aina za kufaulu, na kufaulu duniani na Akhera, na mambo yanayo ufanya uwe miongoni mwa walio faulu.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia makundi ya watu wanne watakao ingia peponi bila hesabu, na makundi ya watu wanne watakao ingia Motoni bila hesabu.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazunguzia Baadhi ya hali za watu wa motoni.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia fitna zilizoenea katika zama na namna ya kijiepusha.

  • Kiswahili

    MP3

    • Mada hii inazungumzia maisha ya mwanadamu baada ya kuumbwa na mtu wakwanza kufa. • Mada hii inazunguzia mambo ambayo yatamkuta mtu kabla ya kufa. • Mada hii inazunguzia mambo ambayo yatamkuta mtu baada ya kutolewa roho.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia baadhi ya tabiya za zama za mwisho ikiwemo kuwatuka mashe,nakuwakufurisha watu.

  • Kiswahili

    MP3

    Khutba hii inazungumzia thamani ya wazazia nawao nimilango ya pepo,na cheo cha mama katika maisha ya wanadamu,na sababu zinazo sababisha watoto wasiwatii wazazi wao.

Ukurasa : 2 - Kutoka : 1