Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Merits of Acts of Worship

Idadi ya Vipengele: 9

  • Kiswahili

    MP3

    1- Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Hija na kwamba (Alqaaba), na ameeleza kuhusu Maqamu Ibrahima, pia imezungumzia namna ilivyojengwa Alqaaba na chanzo cha kuswali rakaa mbili nyuma ya maqamu Ibrahima. 2- Mada hii inazungumzia: Ubora na umuhimu wa kuhiji katika nyumaba ya Allah Tukufu na kwamba ndiyo nyumba ya kwanza iliyo wekwa na Allah kwa ajili ya ibada, pia imebarikiwa na Allah na ni uongofu kwa waja. 3- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama zilizo wazi katika nyumba ya Allah Hajarul-as’wad na kwamba mwazo lilikua jeupe lakini limebadilika kuwa jeusi kutoka na madhambi ya watu kama alivyo lielezea Mtume (s.a.w).

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia:Fadhila za kutawadha, ikiwemo kuwa na Nuru kwa mwenye kutawadha, pia miongoni mwa ubora wa Udhu nikufutiwa madhambi yake.na kwamba udhu ni silaha kwa Muumini.

  • Kiswahili

    MP3

    1- Mada hii inazunguzia: Umuhimu na nafasi ya Hijja katika Uislam na kwamba Hijja ni wajibu na inatekelezwa kwa ajili ya Allah peke yake, pia imezungumzia ruhusa aliyoitoa Mtume (s.a.w) ya kumfanyia Mzazi Hijja. 2- Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa hija na umuhimu wa kuwafanyia hija wazazi walio fariki, na kuwafanyia wema wazazi kwa kuwawekea waqfu, na amezungumzia nyakati za hijja pia amebainisha ubora wa kuhiji ukiwa kijana.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazunguzia: Ubora wa kutia nia thabiti katika safari ili kupata malipo ya safari na malipo ya ibada ya Hijja, pia imezungumzia miongoni mwa sunna za safari kama vile kusoma dua mwanzo na mwisho wa safari kama alivyo fundisha Mtume (s.a.w)

  • Kiswahili

    MP3

    1- Khutuba ya Iddi amezungumzia neema ya kuwa na uongofu nakufikishwa katika mwezi wa Ramadhan, na wepesi wa kumalizika umri, na kwamba Ramadhani nishule, na malengo ya swaumu niuchamungu, na kulifikia lengo hilo nikufanya mema baada ya Ramadhani. 2- Khutuba ya Iddi amezungumzia sababu za kufuata makundi yalio potea na fikra potovu nikuto kuisoma elimu ya dini, na kukosa malezi bora kwa mtoto, na wazazi kuwatupa watoto wao, Na kuinusuru dini nikuisoma dini, pia ametaja adabu za Iddi

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia thamani ya matendo mema yanayo fanyika katika mwezi mtukufu wa ramadhani.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia mambo yaliomo katika ramadhani,na mambo yanayo takiwa kabla ya ramadhani,na yanao paswa kwa muislam baada ya kuonekanwa kwa mwezi,na uharamu wa kufunga siku ya shaka.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia namna ya kuupokea mwezi wa ramadhani,na bishara za mwezi wa ramadhani,tofauti kati ya ramadhani wakati wa mtume na wakati wetu.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia adabu za kuupokea mwezi wa ramadhani,na ukumbusho kwa wanadamu kughafilika na shetane,na hatari ya wafwasi washetan.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1