Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Idadi ya Vipengele: 5

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia mambo ambayo unapoyafanya unatoka katika uislam nayo niushirikina.

  • Kiswahili

    MP3

    1- Mada hii inazungumzia: Uzito wa dhambi ya uzinifu na kwamba ni katika madhambi makubwa yenye kuangamiza, pia imezungumzia makatazo ya Allah juu ya uchafu wa zinaa na kuto kuikaribia zinaa, pia amezungumzia nyumba za zinaa. 2- Mada hii inazungumzia: sifa za watu wema na adhabu za wazinifu, kisha amebainisha madhambi makubwa, kisha akataja kuwa kuikurubia zinaa niharamu na nitabia mbaya. 3- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo nikuviachia viungo na kuto kuweka mipaka katika kuishi na wanawake, nakuto kuinamisha macho na ndimi, sababu ya pili nikuzurura na wanawake na kuongozana nao. 4- Mada hii inazungumzia: Dhambi za uzinifu na sababu zake sababu ya tatu nikupeyana mikono na kugusana, na amezungumza uzito wa dhambi ya kumshika mwanamke asie halali kwake, pia ametaja sababu zinazo pekelea kugusana, sababu ya nne nikuingia katika sehemu za wanawake. 5- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo ya tano nikukaa faragha mwanamume na mke ila akiwa nimahrim, katika faragha nikurejea masomo wanawake na wanaume katika vyuo na mashule, na katika kuchumbiyana, kisha amezungumza uwezo wa mwanamke katika kumpa mtihani mwanamume.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafanyia wema wazazi wawili na hatari ya kuwaasi, pia ubora wa mke mwenye kuwapenda wazazi wa mumewe, na imezungumzia kisa cha mtu aliyemchinja mzazi wake baada ya muda na yeye akachinjwa na mwanae.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia madhambi ya kuwasengenya watu na aina ya kumsema mtu.

  • Kiswahili

    MP3

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi

    Mada hii inazungumzia hukumu ya muzii na dalili zake na qauli za wanachuoni juu ya uharamu wa muziki.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1