Utunzi wa kielimu

Ubora wa Tabia

Tabia njema ni sifa za watu wa peponi muislamu yatakiwa asifike na tabia iliokuwa nzuri ndio mwenendo wa Mtume na maswahaba na wema walio tangulia tunamuomba Allah atujaalie tabia njema.

Idadi ya Vipengele: 6

 • Ukweli Kiswahili

  MP3

  Mhadhiri : Qasim Mafuta Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

  1- Mada hii inazungumzia: Ubora wa mtu kuwa mkeli, na kwamba ukweli ni katika sharti za laa Ilaha ila Lllah, na ukweli ni utulivu wa nafsi bali uongo ni mashaka, pia imezungumzia umuhimu wa kufanya mambo kwa ajili ya Allah. 2- Mada hii inazungumzia: Alama za watu wakweli, kama vile utulivu wa moyo, na kuipa nyongo dunia na kujiepusha na riyaa, na anaeshikamana na Sunna wakati wa fitna, pia amezungumzia maana ya zuhdi. 3- Mada hii inazungumzia: Alama za ukweli nikuficha matendo mema, na kuhisi upungufu katika matendo yake, nakuyafanyia umuhimu na dini yake, na anathibiti kwenye dini wakati wa fitna, na kuikubali haki na kujisalimisha kwenye haki

 • Sampuli Za Maudhi Kiswahili

  MP3

  1- Mada hii inazungumzia: makatazo ya kuudhiana waislam na kwamba wanao muudhi Allah na Mtume wake (s.a.w) wana laana kubwa, pia imezungumzia aina mbili za maudhi ambayo ni maudhi ya maneno na vitendo. 2- Mada hii inazungumzia: Hatari ya madhambi na maudhi ya kusengenya na kwamba hao ndio wanaokula nyama za watu, pia imezungumzia maudhi ya vitendo kama vile kumuudhi jirani kwa kutumia vyombo vya kileo na kutia uchafu katika katika njia.

 • MP3

  Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

  Mada hii inazunguzia maradhi ya moyo, na katika maradhi makubwa ya moyo ni dhana mbaya.

 • MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Fursi ukielezea Uislamu ni Dini ya Uadilifu.

 • MP3

  Mada hii inazungumzia thamani ya undugu katika uislam na umuhimu wa kuwaandaa vijana kwaajili ya badae pia mada inazungumzia umuhimu wa swala ya Alfajri katika maisha yetu.

 • MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Uzbikia, unaelezea: Uadilifu kilugha na kisheria. Uadilifu ni katika sifa za Mwenyezi Mungu Mtukufu. Namna za Uadilifu. Ubora wa Uadilifu. Vigawanyo vya Uadilifu na namna ya kusimamisha Uadilifu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu