Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Idadi ya Vipengele: 16

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia thamani ya swala ya Alfajiri katika Jamaa katika mwezi wa ramadhani,na namna ambavyo zinavyo zidishwa thawabu za swala ya alfajiri.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazunguzia: Neema ya kufikishwa katika mwezi mtukufu wa ramadhani pia amezungumzia jinsi unavyo ingia mwezi wa ramadhani na kutoka kwake na hali zawatu katika swala la mwandamo wa mwezi na njia sahihi ktika kuthibitisha mwezi. Mada hii inazunguzia: Kuingia kwa Mwezi wa Ramadhan na kutoka kuna njia mbili, njia ya kwanza ni kuonekana kwa mwandamo, na njia ya ya pili ni kutimiza siku thalathini, pia imezungumzia ubora wa kufunga na kufungua siku moja waislamu wote duniani.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazunguzia zawadi ya kumi la mwisho katika mwezi wa Ramadhani, amebainisha maana ya Suratul Qadri, na amebainisha aina ya mipangilio ya Allah kwa mwaka mzima, pia amezungumzia zawadi za ramadhani ikiwemo usiku wa cheo na ziyara ya malaika Jibril . Mada hii inazunguzia zawadi ya kumi la mwisho katika mwezi wa Ramadhani, miongoni mwa zawadi za kumi la mwisho katika mwezi wa ramadhani ni kupewa umri mfupi na ibada chache zenye malipo makubwa, pia amebainisha kuwa miezi 1000 nisawa na kuishi miaka 81 ukiwa katika ibada.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazunguzia Namna ya kuitafuta lailatul Qadri, amezungumzia umuhimu wa kuitafuta lailatul Qadri na ubora wake, na ubora wa Ummat Muhammad, na malipo ya atakae pata usiku huo, na malipo ya mwenye kuitafuta lailatul Qadri. Mada hii inazunguzia Namna ya kuitafuta lailatul Qadri, amezungumzia ibada ambazo anatakiwa kuzifanya muislam anaetafuta lailatul Qadri, na muda wa kuanza kuitafuta lailatul Qadri, miongoni mwa matendo hayo ni kusoma Quraan na kuhuyisha usiku.

  • Kiswahili

    MP3

    1- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kusafisha moyo na machafu na kuwasamehe walio tukosea, pia miongoni mwa mapokezi ya Rmadhani ni kuisoma Fiqhi ya swaumu. 2- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kujitwaharisha na shirki na kuwaidhika kutokana na maumbile ya mwanadamu, na maradhi yanayo wapata wanadamu, pia amezungumzia umuhimu wa kuhifadhi swala tano. 3- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo uwajibu wa kujihifadhi na najsi katika nguo na mwili na sehemu ya kuswalia, na uhatari wa kuto kuhifadhi na haja ndogo na kuwachonganisha watu.

  • Kiswahili

    MP3

    Khutba hii inazungumzia namna ambavyo anatakiwa kuwa muislam baada ya ramadhani,na hali ya waislam katika ukanda wa gaza.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia hali ya waislam baada ya ramadhani na jinsi wanavyo gawika katika mafungu tofauti.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia maandalizi ya kisimamo cha kuutafuta usiku wa cheo(Laylatulqadri).

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia fadhila za usiku wa Laylatulqadri na jinsi ya kuutafuta usiku huo,na Dua inayo takiwa kusemwa pindi muislam atakapo uona usiku huo.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia zawadi mbali mbali ambazo linazo kuja na mwezi wa ramadhani.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii imezungumzia mbinu za iblisi katika kuwapoteza watu,na sababu zinazo msaidia mtu kuwa katika ibada baada ya ramadhan.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia yanayo letwa na mwzi wa ramadhani,na ushindi ulio patikana katika mwezi wa ramadhani,na yanayo paswa kufanywa katika mwezi wa ramadhani,na sharti ya ushindi.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia tafsiri ya suratul qadri na kueleza ibada kubwa aliyokuwa akifanya mtume (s.a.w)na fadhila za kusimama kuitafuta laylatul qadri,na yanayo semwa katika usiku wa laylatul qadri.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia alama za laylatul qadri,na alama batili za laylatul qadri,na hukumu za itikafu.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia fadhila za swaumu,na dalili zilizo kuja kueleza ubora wa swaumu,na nguvu za swaumu katika kuziwiya madhambi.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii imezungumzia jia alizokuwa anazitumia mtume s.a.w.katika kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1