Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Makala zote

Idadi ya Vipengele: 1591

  • Kiswahili

    MP3

    1- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kusafisha moyo na machafu na kuwasamehe walio tukosea, pia miongoni mwa mapokezi ya Rmadhani ni kuisoma Fiqhi ya swaumu. 2- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo kujitwaharisha na shirki na kuwaidhika kutokana na maumbile ya mwanadamu, na maradhi yanayo wapata wanadamu, pia amezungumzia umuhimu wa kuhifadhi swala tano. 3- Mada hii inazungumzia jinsi ya kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwemo uwajibu wa kujihifadhi na najsi katika nguo na mwili na sehemu ya kuswalia, na uhatari wa kuto kuhifadhi na haja ndogo na kuwachonganisha watu.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Jinsi ya kupata mapenzi ya Allah, shekh amezungumzia njia mbali mbali za kuyapata mapenzi ya Allah, ikiwemo kupewa hekima, na utulivu na amani na kukinai, pia amezungumzia mambo ukiyafanya utapendwa na Allah.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia:Hukumu ya kuutangulia mwezi mtukufu wa ramadhani, na maana ya shaka ilio katazwa kufunga ndani yake, pia kaeleza mwanzo wa kufunga na kufungua, pia kaelezea uwajibu wa kufunga kwa mwezi wa kutangaziwa na waislam.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia:Makosa makubwa wanayo fanya akina mama katika kupeyana mafunzo au misiba au sharia, pia ametaja sifa ya mwanamke ambae ni Dayuth, kisha amezungumzia Umuhimu wa kukumbushana katika Dini.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia:Kifo na mandalizi yake na mafanikio ya mwenye kufanya mema akiwa kaburini, pia kazungumzia maisha mapya kaburini, na uwajibu wa kufanya mema na kuacha maovu

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Baadhi ya makosa katika kuzika, na umuhimu wa kukumbushana na ubora wa kuijufunza ibada na kuisoma, na miongoni mwa makosa katika kuzika nikuweka mto wa maiti, na kufunguliwa sikio na kidole gumba, nakulifanya kaburi pembe nne.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Ubora wa mvua, na wingi wa neema ambazo Allah ametuneemesha wanadam kwamba hakuna yeyote wa kuweza kuzihesabu, imezungumzia pia namna ya kuzishukuru neema za Allah.

  • Kiswahili

    MP3

    Mhadhiri : Qasim Mafuta Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazungumzia: Ungofu ni katika neema kubwa za Allah, na binadamu akikosa uongofu huingia katika upotevu, imezungumzia pia kwamba maisha ya dunia ni starehe ndogo sana, na nyoyo zimekua ngumu kwasababu ya tamaa za dunia.

  • Kiswahili

    MP3

    Mhadhiri : Qasim Mafuta Kurejea : Yasini Twaha Hassani

    Mada hii inazungumzia: Sheria ya kuoa wake zaidi ya mmoja na uadilifu katika kutekeleza haki za wake, na chanzo cha kukataa mke kuongezewa mke wa pili, na msimamo na subra kwa alie ongeza mke wa pili. 2- Mada hii inazungumzia:Utukufu wa ndoa na nasaha muhimu kwa mume katika kuoa, pia ndoa nisheria ya Allah, na pia inazungumzia malengo makuu ya sharia ya kiislam, ikiwemo kuhifadhi kizazi, na hukumu ya kuoa zaidi ya mke mmoja, na hukumu za kisheria katika kuoa wake zaidi ya mmoja.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Mbinu wanazozitumia maadui wa Uislamu lengo ni kuuchafua uislam, lazima watu waisafishe dini ya Allah (S.w), imezungumzia pia ubaya wa kundi la khawarij na uharamu wa kuua au kumwaga damu bila haki.

  • Kiswahili

    MP4

    Mada hii inazunguzia: Haki za mume juu ya mkewe na kwamba mwanamke mwenye kumtii mumewe ataambiwa aingie Peponi kupitia mlango autakao katika milango nane.

  • Kiswahili

    MP4

    Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa kusubiri na kuvumilia katika mambo mazito, imezungumzia pia utofauti wa malipo mema kwa watu wema na malipo mabaya kwa watu waovu.

  • Kiswahili

    MP4

    Mada hii inazunguzia: Matunda ya malezi bora, pia imezungumzia kisa cha Sayyid Bin Museyyib alipokataa posa ya Abdul Maliki Bin Marwani kwa binti yake.

  • Kiswahili

    MP4

    Mada hii inazungumzia: Mashekh kukosa msimamo katika Da’awah ni chanzo cha waislamu kugawanyika katika jamii, imezungumzia pia Wanachuoni walikhitilafiana lakina hawakufarakana.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafanyia wema wazazi wawili na hatari ya kuwaasi, pia ubora wa mke mwenye kuwapenda wazazi wa mumewe, na imezungumzia kisa cha mtu aliyemchinja mzazi wake baada ya muda na yeye akachinjwa na mwanae.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia:Kufanya juhudi ya kuyashinda matamanio na faida zake, na mwenye kuyashinda matamanio hawezi kuwa dhalili, imezungumzia pia hatari ya kuingiza matamanio katika dini (kuzua katika dini).

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazunguzia: Umuhimu wa biashara katika jamii na sharti zake na kwamba ni lazima kwa wafanya biashara kuwa na elimu ya biashara, pia imezungumzia maana ya biashara na kubainisha biashara yenye Baraka na biashara isiyo na barka.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusimama na kuitangaza haki, na kwamba kuibanisha haki ni wajibu kwa wenye elimu na ni sababu ya msingi katika kuihifadhi dini na hukumu zake, imezungumzia pia namna Mtume (s.a.w) alivyoibainisha haki

  • Kiswahili

    DOCX

    Makala hii inazunguzia: Faida ya kutoa sadaka, pia inazungumzia kwamba sada inapitia kwenye (mkono) wa Mwenyezi Mungu kabla ya kuingia mkononi mwa masikini

  • Kiswahili

    PDF

    Makala hii inazungumzia: Fadhila ya Mwezi wa Shaaban na namna Mtume (s.a.w) alivyokithirisha kufunga ndani ya mwazi wa Shaaban, pia inazungumzia uzushi unaofanywa na baadhi ya waislam katika Nisfu Shaaban