103 - Surat Al-Asr ()

|

(1) Ninaapa kwa Zama!

(2) Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika hasara.

(3) Ila wale walioamini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.