108 - Surat Al-Kauthar ()

|

(1) Hakika tumekupa kheri nyingi.

(2) Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.

(3) Hakika anayekuchukia ndiye aliye mpungufu mno.